Social Icons

Pages

Monday, September 5, 2011

Wakati wa Kuwatch Movies...

Hello..
Weekend iliendaje? Umebaki na any money kwenye wallet yako? Manake ukijumuisha na Eid Mosi na Pili tulikua na siku 4 za kupumzika last week...Starehe Gharama!!! Unabisha? Hehehehhe.. poleee...
Personally hizo siku mie nilijifungia ndani and was busy watching movies... Sometimes nilikua naangalia on my own, sometimes na friends waliokuja kuni visit... Nikashtuka and I realised kuna watu wa aina flani flani - niwe nawatenga when watching movies! Looh!!!!
Kuna mtu alinikera sana - Nilikua naangalia movie sijawahi iona, na yeye pia hajaiona. Sasa after 20 mins za movie akaanza kusema - "Aaah nishajua hii movie inakoelekea, yaani nishajua hadi mwisho wake" Na akataka kabsa to explain to me how it will be. I was soo pissed off! Nikamwambia mi staki kujua itaishaje I want to see it on my own!
Kuna mwingine  tunaangalia movie anasema " Duuu! Umeona hiyo, yaani hapo that guy meant kuwa.. bla bla bla.." Eti anani explainia as though mi sjaelewa kitu. So unajikuta you dont even concentrate! Nilinunaje!
Mwingine naye kumbe alikua keshaiona - ana insist kunambia how it will be na kuendelea kunambia what movie critics walisema about the movie! Jamani ni kuwa mimi im too petty au na wee pia hivi vitu hukukera? jamaniiiii!!!


I want to watch a movie nisikilize na kuwatch kila kitu bila kukosa anything. Sasa mtu kukusumbua sumbua mwingine akuombe u rewind mara u forward eti hapo hainogi hadi mbele kidogo ndo nini? Si wanantaka ubaya tu! I bought the movie, i deserve to watch it mwenyewe hadi niridhike..
Nimejifunza! Never again me nta watch movie na mtu.. Nimekoma!!!!
Na wee niambie ni vitu gani vinaku bore when your watching a movie na watu?

xoxo
have a lovely day

4 comments:

  1. ...kuna hasband wengine wanataka uwahudumie wao tu, ukianza tu kuwatch utasikia, sijui nini, njoo nenda, mtoto alie na nn, au anataka aangalie movie zake na variety of channels, haya mambo yanawafaa ninyi singles, au wakti hubby hayupo,
    la sivyo haina kuinjoy aisseeee

    ReplyDelete
  2. Mie hayo mambo ya kuangalia Movie nilishayaacha kutokana na hayo mambo...... Mara mtu awe mkalimani, mara ajidai alishaiona anajua mpaka Part 2 yake, mara ashangilie kwa kelele....Nikaamua kujitoa taratibu kwenye hiyo hobby. Maana imeshakuwa tafrani..!

    ReplyDelete
  3. Ikiwa hivyo Anonymous 1 and 2 - my personal view - ushauri wangu ni kuwa - badala ya kuangalia movie home, kuepuka usumbufu, muwe munakwenda kwenye Movie Theaters kuangalia movie... That way ule usumbufu utawekwa on the side.. Atadhubutuje kukuagiza hiki na kile pale? Au ashangilie kwa kelele? Hehehhe.. I think thats the best option..
    :)

    ReplyDelete
  4. Barbara umeshauri vizuri nyumbani ukiwa na familia utulivu wa kukaa 2 hours unaangalia movie step kwa step mpaka iishe utaupata wapi? kwenda movie theaters ni best solution otherwise unatafuta kugombania remote hapo home.

    DOSCA

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text