Social Icons

Pages

Friday, September 16, 2011

What do Men Want?

Hello,
Ehe, so ulijaribu kufanya nilichokwambia kuhusu mumeo/fiance/boyfriend apendaye soccer? Kama you didnt basi you can do it this weekend coz kuna mechi Saturday ya Arsenal na jumapili Man United na Chelsea. I think hizi ni kati ya timu zinazopendwa sanaaaa.. au zilizo na fans wengi zaidi.



Anyway leo asubuhi nilisoma gazeti la hapa nchini Tanzania - Tanzania Daima on page 5 nikakuta habari yenye heading - Jela Kwa Kumlawiti Mkewe.. an excerpt from hiyo article :-
"Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Mpanda imemhukumu Haruna Ndayage (54) mkazi wa mtaa wa Kashaulili, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuingilia mkewe kinyume na maumbile.... Shahidi wa tano ambaye ni daktari aliithibitishia mahakama kuwa mlalamikaji baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulika kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile yake."

Jamaniiiiiiii!!!! At least huyu mwanamke alipata akili ya kwenda kumshtaki mumewe coz hakupenda kitendo alichotendewa. But how many other women wanafanyiwa hivi lakini hawajui waanzie wapi and some dont even know kama ni kosa...
Nimejaribu kucheki matatizo tunayoweza kupata kama wanawake if we involve  ourselves in anal sex. Ni pamoja na:-

- Anal sex can lead to stretching and tearing of the anal canal which leads to anal fistulas, perirectal abscesses, and anal fissures.
  • After engaging in anal sex there is a risk of contracting vaginal bacterial infections, bladder infections, and kidney infections.
  • Because the sphincter muscle was not created by God to dilate continuously like the vagina, forced dilation can lead to future incontinence. Which simply means you lose the ability to hold your bowels. If this happens, surgery will be required.
  • Studies have revealed that the person receiving anal sex often experiences unexpressed feelings of shame, and embarrassment which can lead to depression.

Sasa hawa wanaume kwa nini watusababishie we go through all this? Wanaume munataka nini jamaniiiiiii? Hamuridhiki? Khaaa!!! Im soo pissed off na hii ishu.
What do you think?

P.S - Kuna kitu nafuatilia kwenye mabar this weekend nikithibitisha i'll tell you about it on Monday. 

Have a blessed weekend,
xoxo

6 comments:

  1. Very sad story.. nilivyaanza kuisoma habari hii nilidhani miaka 30 was too much but baada ya kusoma hayo madhara... its damn haki yake.. pissed off too

    ReplyDelete
  2. Yaani Barbara kwenye hili hawa wanaume wamezidi na wapo wengi sana huyo mwanamke kafunguka wanaokaa kimya nadhani ni wengi sana wanaficha aibu wanazidi kutendwa. Inasikitisha sana vikao wanavyokaa wanaume baa na sehemu nyingine wakikutana wanaelezana uchafu wanarudi kuwafanyia wake zao, inasikitisha sana. KAMA MWANAMKE LAZIMA UWE NA MSIMAMO TUKATAE KUNYANYASIKA KWA AJILI YA JINSIA ZETU. MUNGU TUNAHITAJI UWEPO WAKO MAANA DUNIA INAISHIA HIVYO.

    DOSCA.

    ReplyDelete
  3. Yaani inawezekan mimi ni mshamba lakini sielewagi kuna raha gani ya anal sex.,nahisi ni maumivu matupu! kweli we do differ., haki ni kudhalilika/immoral ..period! mungu atutangulie kwa kweli

    ReplyDelete
  4. Hivi naomba niulize,unaeza kupata ukimwi kwa kufanya huko nyuma?na madhara gani anayopata mwanaume?

    ReplyDelete
  5. Tantric Μassage hеlps to ԁischaгge as а sіgnifier of
    safer sеx аnd is аn ѕplendid nаturаl process to
    buіld сοrporatе trust and liaison.
    The соmmencement mаtter yοu
    demand to understand mοre or lеss
    gift а womаn a and suρpliеd almost anywherе
    in the domаin.

    Take a look at my webpage ... Tantric massage in London

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text