Hii nilitaka kuandika jana but duu time is not on my side! Nisamehe bure.. :(
I have very many male friends and hua napenda sana kuwauliza silly questions but majibu wanayonipa napata kujua a lot. A good example ni juzi tu niliwauliza about wanawake wanaoweza kufanya sarakasi wanakuwaje kwenye relationship? Hehehhehe.. Yeah I can be that challenging. Walinijibu "Duuuu... Hua ni poa sana kwa sababu wanaweza "styles" nyingi nyingi tu" Nikachoka kabsaaaa...
Mfano mzuri ni juzi hapa mwanamichezo Serena Williams alipopiga bonge la msamba wakati akicheza tennis. Wanaume went crazy!
Anyway eti wee unaweza kupiga msamba tena wa ukweli kama Serena? And hiyo itapelekea men to want you or wapate uchizi about you?
Its just a thought...
xoxo
have a good day...
Mmmmmh ila kama qualities za mwanamke MUWAJIBIKAJI kunako nanilihiii......among others ni Sarakasi naomba kutoa hoja, Mie simo kabisaaa. Nisije kutokwa roho bureeee!
ReplyDeleteelmmy
Nasikia kuna jamaa alichukua mcheza shoo wa bendi fulani hapa Dar akajua mauno ya stejini atayapata wakiwa uwanja wa sitakwa sita thubutu, alikuwa hoi ule mchezo hauna maskhara, pia wanaume wanatofautia wapo wanaopenda mwanamke asichacharike sana atulie yeye ndio amuenzi apige zoezi la ukweli, mapenzi ni zaidi ya kitandani kauli, usafi, akili za maisha ukiweza sarakasi ukawa mchafu nani atakutaka?
ReplyDeleteHahahhahahah... Anonymous 2 umenivunja mbavu...
ReplyDeleteAnon 2, Hiyo tunaita "Gari bila Mzigo" linapanda kitonga bila shida. Lipe mzigo sasa shughuli inaishia hapo,Hahahahaha...........
ReplyDeleteElmmy
....true mapenzi ni zaidi ya sex kitandani..na sarakasi ama mcheza shoo ama mcheza mpira hakuna kitu..utundu wa bed ni mtu mwenyewe kama anajua anajua tu..sema asio jua anaweza jifunza ...so babra acha uoga(joke)...pia flexibility ya mwanamke kitandani anaweza isababisha mwanaume..kama mwanaume ni msanii then mwanamke anaweza kufanya unavyomuandaa tuu...
ReplyDeletekuna wanawake huwa wavivuu kufanya kazi yoyote na ukiwaona laini laini..ila hao bwana kwa bed..dooh!!
cox