Hello....
Jamani tuwe wakweli tu.. hhihihih.. Kuna wengi wetu sio photogenic, so mara nyingi tukipiga pics lazma zirudiwe rudiwe hadi upate the perfect one. Uongo? Nilikumbuka this nikaenda kuangalia pics zangu za Driving License na Passport! duuuuu... Nikachoka!
U know zile sio pics ambazo unapigwa na washkaji zako so hawawezi kurudia rudia... Kwa hiyo most pics za Driving License na Passport kwa kweli haziku compliment wala! U want to see mine? Hahahahah haya..
Hahahha - Usinicheke banaaa... Hiyo ni ya DL.. Ya passport? No way! Nimegoma...
Are you proud of your pics za DL na Passport? If yes tutumie hapo tuone basi!
have a blessed day
xoxo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hi barba! hope ur gd, vp kuhusu relationship part 2? plz!!!
ReplyDeleteiko poa...u tried to make that face look serious
ReplyDeletebarba jitahidi urudie kama ulivyokuwa hapo kwenye picha ya dl, ulikuwa model hadi raha
ReplyDelete