Social Icons

Pages

Monday, September 12, 2011

What To Carry Kwenye Hand Luggage...

Hello,
Kwanza nawapa pole Watanzania wenzangu wote kwa msiba uliotupata when MV Spice Islander sank usiku wa kuamkia Jumamosi... Mungu azilaze roho za wote waliofariki pahali pema peponi. Iliniuma sana to see vichanga vilivyopoteza maisha... Daaaa.. Tuombee roho zao.
Ila kuna jingine pia lililotokea weekend hii hapa Tanzania. Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ulipata blackout! No umeme! Aibu gani hii jamani? Ndege nyingi zikiwemo za international eg KLM nk zikashindwa kutua. Ikabidi nyingine zikatue Nairobi na nyingine Arusha. Im not a fan wa politics kihivyo so i wont really get into this politically, ila nimeona nitoe tahadhari kwa fellow women in case jambo hili likikutokea ujue cha kufanya. Of course ina maana kuwa hutopata your luggage as utalala just one night huko mlipo land. Sasa kama hukubeba unavyohitaji kwenye hand luggage utajutaje? Au even sometimes kama luggage yako imepotea ukifika uendako utatumia nini? So i thought nilist down some things us women need kubeba in our hand luggage ili kuepukana na usumbufu na pia kuanza kuhangaika ukitafuta things you will use for just one night.



- Panties - chagua nyepesi na zinazokauka haraka
- Dress - nyepesi na laini (iwe rahisi kukunja na ku fit in the bag)
- Lotion - chini ya 50 mls
- Perfume - chini ya 50 mls
- Mtandio au kanga -  mlaini unaoweza kuukunja na kufit in the bag
- Atm card - unaweza ihitaji anytime
- Passport - of course
- Tshirt / top (hata mbili)
- Leggings (badala ya jeans, coz hua nyepesi na ni rahisi ku fit in the bag and unaweza kuivaa badala ya night dress)
- Mswaki
- Condom - Be safe
Wewe kama wewe mwanamke mwenzangu, what else do you think kinahitajika kwenye hand luggage? Funguka....

have a lovely day
xoxo

6 comments:

  1. Best hapo umenifungua macho siku nikipanda ndege nijue cha kubeba on my hand luggage, nsije umbuka bure.


    DOSCA

    ReplyDelete
  2. My dear...., PADS(one or two pieces) in case of anything, Si unajua tena shock inaweza kuleta mambo mengine?????

    Bye,
    Elmmy.

    ReplyDelete
  3. Rehema - Navo's ChoiceSeptember 13, 2011 at 8:47 AM

    Pads mwenzangu, na soksi, mswaki na dawa, vitana (visiwe cha chuma tho)

    ReplyDelete
  4. Yes PADS na Soksi na kitana na Vaseline na lipgloss

    ReplyDelete
  5. Mimi huwa nabeba vitu vyangu vyoote vya thamani kwenye hand laggage naacha vile vya kawaida kwenye check in laggage maana hizi airport zetu utalizwa mwanawane. Usije kulogwa ukaweka camera, sijuhi laptop, vidani kwenye check in laggage utalia wewe. Na airport wanakuwaga wakavu wanakukomalia kuwa umeibiwa huko huko amsterdam.

    ReplyDelete
  6. Your mаn volition unqueѕtіonablу appreciatе all the
    attеmρt that you of medicinal drug such aѕ
    tantric massage is the hale-ѵiew view it takes іn νiewing each soul.


    Feel free to surf to my page :: tantric massage in london

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text